Wafanye nini na hapa ndio kwao? ????
“Baba yao hana uwezo wowote. Amesumbukana sana kimaisha tangu bibi yake amtoroke kwa sababu ya umasikini akamuawacha na hawa wavulana wawili.Hana kibarua yoyote ambayo inamsaidia hata na kivyakula.
Huwa anatoka asubuhi na kurudi jioni na nikijaribu kumuongelesha, ni machozi tu naona kwa macho yake. Amenishinda kumuelewa na mimi ni mama yake,.Mimi sina uwezo wowote, kile ninachofanya ni kupanda mboga kidogo kidogo nikisukuma mtoto huyu amalize shule lakini arrears ndiyo nyingi sana sababu siwezi mtu mmoja.Hawa watoto wanaogopa hata kuleta marafiki zao nyumbani sababu ya nyumba. Iko tu hivi. Huwa nikilala niko na uwoga sana sababu labda nyumba inaweza muangukia mtoto wangu sababu ya mvua nyingi…” grandma
……………………………..Makanda Foundation
Dear friends, its doable with only 20 ironsheets of 10ft. Total budget for timbers, nails, labour, transport, ironsheets ~ ksh. 95,000We can do this and make these young boys have a settled mind for education. No amount is small: mpesa/wave/remit07 13 48 14 36 phelix joel #humanity